Kama ushawahi kuona watu wengi tunateseka kwa kuwa na unjano katika makwapa yetu baada ya kuvaaa nguo nyeupe lile jasho usababisha unjano je nn suluhisho la hili au usababishwa na nn msaada tafadhari.