Jasho kutoka la njano kwenye makwapa husababishwa na nini?

Fundi umeme

Senior Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
116
Reaction score
24
Kama ushawahi kuona watu wengi tunateseka kwa kuwa na unjano katika makwapa yetu baada ya kuvaaa nguo nyeupe lile jasho usababisha unjano je nn suluhisho la hili au usababishwa na nn msaada tafadhari.
 
Husababishwa na uchafu tuu!! Nyoa kwapa, oga na sabuni angalau kutwa mara mbili, epuka kuvaa nguo chafu
 
Back
Top Bottom