Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Mk Doctor wa JF naomba msaada wa kitaalum hivi ni hali ya kawaida kwa mtoto mdo wa ambeye hajafikisha mwaka mmoja kuwa anatokwa na jasho akiwa amelala hata kipindi cha baridi.
Kuna madhara yoyote?
Ushauri mkuu
Mimi nina uhakika mtoto wako hana tatizo lolote lakini kama anatokwa jasho wakati wa kumlisha chakula inaweza kuwa ni tatizo.
Hapa chini ni orodha ya baadhi ya dalili za matatizo zinazopatikana wakati wa utoto. (Kutoka tovuti http://tchin.org/aware/symptoms.htm):
Parents should be alert to the following symptoms in infancy:
• Tires easily during feeding (i.e. falls asleep before feeding finishes
• Sweating around the head, especially during feeding
• Fast breathing when at rest or sleeping
• Pale or bluish skin color
• Poor weight gain
• Sleeps a lot - not playful or curious for any length of time**
• Puffy face, hands, and/or feet*
• Often irritable, difficult to console
mk doctor wa jf naomba msaada wa kitaalum hivi ni hali ya kawaida kwa mtoto mdo wa ambeye hajafikisha mwaka mmoja kuwa anatokwa na jasho akiwa amelala hata kipindi cha baridi.
Kuna madhara yoyote?
Ushauri mkuu
akili,ukitoa post unakimbia....na kurudi na mpya,.sasa sijui zetu tutachanganyaje na zako
X-plaster nimeipenda hiyo,na ya ziada Often irritable, difficult to console .Mtoto wa umri huo kama halii hana matatizo mzee,apewe nyonyo tu kama bado anapewa ,kilio ni kiashirio cha ugonjwa,mengineyo ni utambuzi wa mzazi kuona kuwa hili mbona huwa halipo kwa watoto wengine,na hivyo kuuliza wengine na hatimaye kuchukua hatua.
Mimi kwa ushauri wangu wa mwisho ni kumuona daktari wa watoto.Huyu dogo ni kwamba kwakweli yupo vizuri tu ila ni kweli akiwa analishwa kwa kuwa anakuwa hataki na anafanya fujo huwa jasho linatoka na huwa ni mtu anayecheza mno yaani hatulii usipomfuta usoni yaani ni balaa tu.alalapo tu huwa napo tunalala na kitamba ili kufuta jasho pindi anapokuwa ananyonya ndo maana nikaja hapa kuuliza kwa zoeefu kuwa je hili lanamna hii huwa ni tatizo na kama ni tatizo nini tiba yake?