Mimi nina uhakika mtoto wako hana tatizo lolote lakini kama anatokwa jasho wakati wa
kumlisha chakula inaweza kuwa ni tatizo.
Hapa chini ni orodha ya baadhi ya dalili za matatizo zinazopatikana wakati wa utoto. (Kutoka tovuti
http://tchin.org/aware/symptoms.htm):
Parents should be alert to the following symptoms in infancy:
• Tires easily during feeding (i.e. falls asleep before feeding finishes
• Sweating around the head, especially during feeding
• Fast breathing when at rest or sleeping
• Pale or bluish skin color
• Poor weight gain
• Sleeps a lot - not playful or curious for any length of time**
• Puffy face, hands, and/or feet*
• Often irritable, difficult to console