Jasho lenye rangi kwapani.

Jasho lenye rangi kwapani.

marco thomas

Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
29
Reaction score
2
Ndg wa Jf.

Huwaona watu wengi wenye tatizo hila, hasa wanapokuwa wamevaa nguo nyeupe na zingine zenye kuonyesha alama za jasho lililobaka na kuacha michilizi alama za rangi kama njano au nyeusi, Hii husababishwa na nini?

Je kuna tiba? Kama ipo ni ipi? Majibu kutoka kwenu wana Jf.
 
wajitahidi kunyoa kwa wakati, usafi wa mwili ikiwemo kutorudia nguo pasipo sababu, kutumia deodorant nk.
 
Back
Top Bottom