Jasiri muongoza njia

Jasiri muongoza njia

Hahahah hivi yule demu ndio alijinyonga, sio?
Acha mkuu sie hatuna taarifa hata hatujui dah niliona yule demu ana mwambia jamaa mke wako akiona kumbe jamaa alikua na mke sijui hii ishu iliishaje.dunia inaenda kasi sana.
 
hivi hakuna mtu mwenye file la huyu jamaa. wajihi wake unaonyesha kama mtu mwenye asili ya mikoa ya kaskazini mwa tanzania. bado majina yake halisi, kazi yake na alipo hivi sasa. yule dame sihitaji kujua taarifa zake.
 
Hahahaha dah mmenikumbusha mbali sana baada ya mkanda kwenda hewani yule demu alinimind kinoma yaan sitasahau.
 
hivi hakuna mtu mwenye file la huyu jamaa. wajihi wake unaonyesha kama mtu mwenye asili ya mikoa ya kaskazini mwa tanzania. bado majina yake halisi, kazi yake na alipo hivi sasa. yule dame sihitaji kujua taarifa zake.
Jamaa anaitwa Brian
 
Back
Top Bottom