Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

Chadema sio SS ya watu 3 walioteua mgombea uraisi.
 

Mrema hakutumwa, alikuwa mpinzani wa kweli, Ila kwa ujinga wa wale wanaotetewa na nguvu ya serikali hakuwa na jinsi ila ni kutulia na kutafuta ugali wake.
 
umesahau mlivyo mashambulia zitto na wenzake walivyo hama, inamaana ukiondoka cdm ndio msaliti lakini ukiondoka vyama vingine na kwenda cdm wewe ni malaika. Acheni hizo bana, hii ndio sababu kuu ambayo itawafanya msisogee hata kwenye geti la ikulu.Hamuambiliki wala hamkosoleki. Ujuaji umewazidi na mtapigwa bao kwa miaka mingi sana na ccm
 

Tuko pamoja hawaelewi na hawatelewa ulichokisema hao Mashabiki maandazi, Wape elimu kwanza majasusi ni kina nani?
 
Hakuwahi kuwa na nguvu ya upinzani kama ilivyo sasa
 

Heeee poleeee, utashangaaaaa chadema iko sawa
 

Mkuu unaweza usiaminike sasa ila na mimi napata hisia kama zako. Tuombe tuu isiharibu amani yetu
 
Hii post wataikumbuka sana acha wakushushie matusi mleta mada
 
Chadema ni mkusanyiko wa ma zombie

Hawana uwezo wa independent thought.Ni kama cult,kiongozi wao akisema kitu wao ni "mein Führer!"

Hata huyu anajiita LILONGO yaani liong😵na sasa alichoandika.
 
Kuna watu wajingaa kweli kweli. Yaani hata kama li chama lenu liko kaburini hamkati tamaa tu. CHADEMA ILISHAKUFA
Chadema inafia mlango wa ikulu ndio maana ya thread hii.
 

You might be right ↪
 
Cku zote huwez kumpima mkeo kwa kumtuma rafiki yako amtongoze au kumtega panya kwa mkate unategemea mkeo akigongwa atasema? haiwezekan ni sawa na mfano ulioutoa fuatilia historian vzur bado xna..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…