KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Dalili za kuanza kusurrender huo ni mwanzo tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 1995 ilikuwa vyama vichanga na uchaguzi wao wa kwaza kushiriki,so,hata wananchi wapiga kura walikuwa bado na uelewa mdogo na hofu juu ya mageuzi wakizani nchi bila CCM haiwezekani kabisa.
Angalia takwimu mwaka 2005 - 2010 kura za upinzani zilipanda na mwaka huu 2015 zitapanda zaidi kwa sababu kadhaa,
1. Nguvu ya Lowasa ni kubwa sana na nivigumu kushindwa unapomfikisha kwenye kuchaguliwa kwa njia ya kura kumbuka hata CCM walivyojua wanamkata hawakulipeleka jina lake kwenye point ya kupigiwa kura kwasababu wanajua ukweli huo.
2. kumbuka hata watoto waliozaliwa 1995 sasa tunapiga nao kura ile hofu ya (wana umri wamiaka 20 sasa) maana yangu ni kwamba hawana ule U-CCM, U-TANU ,U ASP wala U Nyerere wamezaliwa ndani ya vyama vingi na wamekuliwa humu,so, wanapoelimishwa kwamba hizi changamoto wanazokabiliana nazo zitaondolewa nje ya CCM wanahamasika.
3.Udhaifu na mapungufu ya CCM yenyewe sasa yako wazi mno hata mtoto ana ona jinsi wana vyoumbuana kwa chaguzi zao za rushwa n.k
Jambo kama hulijyi uliza, ukidhani nguvu hii ilitokana na "uwezo"wake wa kuongoza umebugi. Fuatilia uchaguzi wa ccm wa 2012; uwt na uvccm, ndio utajua nguvu ya lowasa imetokea wapi ndani ya kamati kuu na halmashauri kuu.1. Nguvu ya Lowasa ni kubwa sana na nivigumu kushindwa unapomfikisha kwenye kuchaguliwa kwa njia ya kura kumbuka hata CCM walivyojua wanamkata hawakulipeleka jina lake kwenye point ya kupigiwa kura kwasababu wanajua ukweli huo.
If wishes were horses......Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!
ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.
Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.
Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
ni wana chadema na Ukawa ndiyo tulimwomba mzee Lowassa atuoneshe tena uungwana wake kwa kukubali kuwa mgombea pekee bila kuhitaji kushindanishwa na mwingine yeyote kwa kupigiwa kura.Kama EL anayo nguvu kiasi hicho kwa nini aliogopa kiasi cha kutoa sharti la kutokuwapo kwa mwanachama mwingine atakaye chukua form ya uraisi Chadema kwa kuwa hakutaka kushindanishwa kwa kupigiwa kura?!!!
We bado una fikra za mwenyekiti zidumu eti?Kwa taarifa yako huu si Mwaka tisini huu ni Mwaka 2015 kizibo wewe, unaongelea miaka ambayo tulikuwa hatuna mitandao? Amka wewe hata vijijini wako up to date wanaisoma JFHii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!
ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.
Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.
Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Yaani sioni uhusiano wa nccr-mageuzi na cdm au Mrema na Lowassa
Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!

Mwenyewe nahisi kitu kama hicho kabisa before najua kuna agenda ya siri sio bure kaenda kwa purpose pale. It's just a matter of time.Mkuu unaweza usiaminike sasa ila na mimi napata hisia kama zako. Tuombe tuu isiharibu amani yetu