Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

We bado una fikra za mwenyekiti zidumu eti?Kwa taarifa yako huu si Mwaka tisini huu ni Mwaka 2015 kizibo wewe, unaongelea miaka ambayo tulikuwa hatuna mitandao? Amka wewe hata vijijini wako up to date wanaisoma JF

Unadhani miaka ya tisini hakukua na mitandao au wananchi walikuwa hawapati taarifa za uchaguzi?
 

= ingali
 
Sio janga LA lugha hats matumizi ya helufi pia
 
Chadema na miaka yote kisiasa Leo inakodi wagombea kutoka vyama vingine!!!! This iz shamefully.......
Miaka 20 ya siasa down the drain. Hiki chama ni cha kuchomwa maana kimejaa walongo na walosi
 

Mkuu umeongea jambo kubwa sana ni wachache mno wanaolitambua hilo,wanajiaminisha watatawala milele.Sio kweli huu ni wakati wa madiliko hata mtu asijua siasa anakuambia anataka mabadiliko
 
Mkuu umeongea jambo kubwa sana ni wachache mno wanaolitambua hilo,wanajiaminisha watatawala milele.Sio kweli huu ni wakati wa madiliko hata mtu asijua siasa anakuambia anataka mabadiliko

Mamluki anayegombea urais??
Kamwe hakuna
 

Bila ya kuing'oa CCM kwenye utawala, Stori za kitoto kama hizi hazitaisha. Watoto wanaangalia sinema za ngumi basi tayari wanajua ujasusi.

Vitoto vya shule za kata vingi sana humu JF. Vikishaenda JKT miezi mitatu kulimishwa mahindi na maharage tayari ni vijasusi.

Naweni miguu, kojoeni mkalale. Siwapi soda msije mkaharibu godoro!!!!
 
mliberali upo sahihi. I agree withyou.
 
Last edited by a moderator:
Ccm bila wizi wa kura hamuwezi kushinda...tumeshuhudia juzi tuu mlivyo ibiana wenyewe kwa wenyewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…