Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

kweli wewe ni jinga la CCM, yaani unataka kuaminisha watu kwamba CHADEMA (People's Power) imekufa!!!!????
 
Jambo kama hulijyi uliza, ukidhani nguvu hii ilitokana na "uwezo"wake wa kuongoza umebugi. Fuatilia uchaguzi wa ccm wa 2012; uwt na uvccm, ndio utajua nguvu ya lowasa imetokea wapi ndani ya kamati kuu na halmashauri kuu.

Inawezekana alikuwa na nguvu ndani ya CCM (japo kuwa siyo kama watu wanavyodhani Kwani asingeweza kukatwa kirahisi hivyo) lakini hakuwa na nguvu yoyote CDM. Ndiyo maana alitoa sharti la kuto kushindanishwa Kwani alijua ndani ya CDM asingeweza kutoboa kwa Slaa.
 
Utasema mengi, si ajabu ukawaita wanachama wote majasusi.
 
nasisitiza hii thread ibakie hivihivi
 
Babu mwishoni anajisahau na kusema wale ccm ni wakubwa zetu.....CDM sawa na CCM B
 
... halafu tufuatilie hotuba ya ufunguzi kwenye website!!!!
 
Upepo wa mwaka 1995 usiufananishe na upepo wa mwaka huu mambo mengi yamebadilika

bila shaka katika mambo mengi yaliyobadilika unamaanisha foleni za dar, na ongezeko la mishahara ya waalimu au?
 
Upepo wa mwaka 1995 usiufananishe na upepo wa mwaka huu mambo mengi yamebadilika

wakumbuke wakati ule nyerere ndiye aliyewasaidia kuokoa jahazi lilikuwa limesha zamishwa vizur tu then sasahivi ameondoka L. Masha ambae ndiye level ya mrema kwa kipindi kile tunaye Tabwe tunae mzee mzima aliewamaliza leo ktk uzinduzi mweshimiwa sumaye na mkuu mwenyewe Lowassa
 

Nadhani haujaisikia hotuba ya lowassa na ilani zake ukawa dakika 5 zilizopita ITV
 
Chadema na miaka yote kisiasa Leo inakodi wagombea kutoka vyama vingine!!!! This iz shamefully.......

Nadhani haujui historia vizuri, mabadiliko ya Kenya ni nini??? Kenyatta alikuwa chama tawala akaenda upinzani na kuweka historia
 

Teh teh teh teh kwa kwa kwa kweli jingalao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…