kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Asee mbona ni kama ulikuweko kwenye mkakati?Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!
ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.
Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.
Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA