Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

Asee mbona ni kama ulikuweko kwenye mkakati?
 
Kumbe wewe ni mbashili mzuri!

2015 lowassa angegombea urais ndani ya CCM kwa sifa mbaya alizokuwa nazo CCM ingepata tabu sana pengine vurugu zingezuka inakuaje mtu mchafu namna ile anashinda urais wakati watanzania wanajua ni mchafu,kilichofanyika pale ni kuokoa CCM na maslahi yao kwani urais upo tu,kama hivi sio miaka mingi lowassa na kundi lake wanaweza ongoza nchi....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
DU HUU NI MSUMARI WA UTOSI KWA CDM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanafunzi mliopo vyuoni jifunzeni kutoka kwangu
 
[USER]jingalao[/USER] leo kawa Somo tumsomeni


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…