Jasusi Yeriko Nyerere ayataka Mashirika ya Kijasusi ya FSB, CIA na M16 kutafiti Kwanini Ndege nyingi zinaanguka Mwisho wa mwaka huu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Jasusi Yeriko Nyerere amesema kuelekea kufunga mwaka pamekuwepo na Ajali nyingi Sana za Ndege hivyo Makampuni yanayounda Ndege yaangalie kama Kuna itilafu yoyote kwenye Ndege zao

Aidha Yeriko Nyerere ameyataka Mashirika ya Kijasusi ya FSB, CIA na M16 kutafiti Kwanini Ndege nyingi zinaanguka Mwisho wa mwaka huu

Maelekezo, Maagizo na Ushauri ameyatoa Ukurasani kwake X

Ahsanteni sana 😄
 
Kwa Ujasusi upi sasa.
 
hapa katumia statistics gani
 
Jasusi Yeriko Nyerere amesema kuelekea kufunga mwaka pamekuwepo na Ajali nyingi Sana za Ndege hivyo Makampuni yanayounda Ndege yaangalie kama Kuna itilafu yoyote kwenye Ndege zao

Aidha Yeriko Nyerere ameyataka Mashirika ya Kijasusi ya FSB, CIA na M16 kutafiti Kwanini Ndege nyingi zinaanguka Mwisho wa mwaka huu

Maelekezo, Maagizo na Ushauri ameyatoa Ukurasani kwake X

Ahsanteni sana 😄
Hivi huyo chawa wa Sultan anajiona yeye nani haswa?
 
dha Yeriko Nyerere ameyataka Mashirika ya Kijasusi ya FSB, CIA na M16 kutafiti Kwanini Ndege nyingi zinaanguka Mwisho wa mwaka huu

Maelekezo, Maagizo na Ushauri ameyatoa Ukurasani kwake X

Ahsanteni sana 😄
Katika nchi za wenzetu. Kila mamlaka zina mipaka yake ya kiutendaji iliyopo kisheria. Kuna mamlaka maalumu za kiuchunguzi zinazohusiana na ajali za ndege ambazo wataalamu wake wamebobea katika taaluma hiyo. Aliyesema hili anatakiwa aelimishwe juu ya hili
 
Information ama habari kwa lugha yetu hivi sasa ni power/nguvu. Mwenye nayo ana nguvu flani kuzidi asiye nayo. Sasa kabla ya kumkashifu mtu angalia uwezo ama nguvu alionayo. Kupiga kelele kama vikinda vya ndege haisaidii kitu, mtaliwa na mwewe
 
Uzuri Yericko ni mkusanya waganga wanaomtibu Mbowe , yeye huwatoa sehemu mbalimbali na kupata chochote
 
Back
Top Bottom