johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa Ujasusi upi sasa.Jasusi Yeriko Nyerere amesema kuelekea kufunga mwaka pamekuwepo na Ajali nyingi Sana za Ndege hivyo Makampuni yanayounda Ndege yaangalie kama Kuna itilafu yoyote kwenye Ndege zao
Aidha Yeriko Nyerere ameyataka Mashirika ya Kijasusi ya FSB, CIA na M16 kutafiti Kwanini Ndege nyingi zinaanguka Mwisho wa mwaka huu
Maelekezo, Maagizo na Ushauri ameyatoa Ukurasani kwake X
Ahsanteni sana 😄
Hivi huyo chawa wa Sultan anajiona yeye nani haswa?Jasusi Yeriko Nyerere amesema kuelekea kufunga mwaka pamekuwepo na Ajali nyingi Sana za Ndege hivyo Makampuni yanayounda Ndege yaangalie kama Kuna itilafu yoyote kwenye Ndege zao
Aidha Yeriko Nyerere ameyataka Mashirika ya Kijasusi ya FSB, CIA na M16 kutafiti Kwanini Ndege nyingi zinaanguka Mwisho wa mwaka huu
Maelekezo, Maagizo na Ushauri ameyatoa Ukurasani kwake X
Ahsanteni sana 😄
Mbobezi 😂Hivi huyo chawa wa Sultan anajiona yeye nani haswa?
Mavi yake kibaka tu huyo.Mbobezi 😂
Katika nchi za wenzetu. Kila mamlaka zina mipaka yake ya kiutendaji iliyopo kisheria. Kuna mamlaka maalumu za kiuchunguzi zinazohusiana na ajali za ndege ambazo wataalamu wake wamebobea katika taaluma hiyo. Aliyesema hili anatakiwa aelimishwe juu ya hilidha Yeriko Nyerere ameyataka Mashirika ya Kijasusi ya FSB, CIA na M16 kutafiti Kwanini Ndege nyingi zinaanguka Mwisho wa mwaka huu
Maelekezo, Maagizo na Ushauri ameyatoa Ukurasani kwake X
Ahsanteni sana 😄
Jasusi wa kulamba viatu vya Sultan MboweJasusi wa kulima bamia.!!