Tengeneza Njia
Senior Member
- Jul 29, 2022
- 121
- 205
Ndugu zangu,
Jana nimepata wasaa wa kuzungumza na mdau mmoja akanielezea namna amesikia hii issue ya Kalynda na kuilinganisha na kile kinachoendelea JATU!
Tayari nimeona nyuzi kadhaa zilileta hii issue mpaka pale serikali ilipotoa tamko lakini mzee wa watu ambae ni mwanachama wa hii JATU anasema mpaka leo hajalipwa pesa zake za mavuno - na kilio hiki ni cha wanachama wengi sana!
Wanapigwa danganya toto na kuitwa kwenye vikao hewa. Jamani wasaidieni hawa wazee tena wengi wao ni wastaafu, pesa zao za mafao zote zimeishia huko.
JATU JATU JATU!
Mkalifikishe hili kwa wahusika! Uchunguzi na suluhisho litafutwe.