JATU ifuatiliwe - ni kama Kalynda tu!

Mzee hii si ilipita mwaka Jana.

Mwaka huu walitangaza kuacha kutegemea mtaji kutoka kwa wawekezaji wa kiswahili tu katika kukuza uwekezaji wake, cha ajabu mtendaji mkuu Kala kona wanatafuta mwingine.

Nisaidie hapa unadhani nini kinaendelea kwa taarifa hizo mbili, je mtendaji aliye kuwepo kwa miaka 6 hawezi kuendana na ukuaji unaotakiwa au ..?

Akili kumkichwa, ila 290 inalipa wazee walioweka mafao wawahi mapema. Hatifungani za serikali zitawapa wasiwasi kidogo sana kuliko hapa walipo.

Mtazamo wangu tu.
 
Likishabuma serikali ikafreeze akaunti hiyo pesa hairudi kwa wenyewe. Umesahau ya DECI na Mr Kuku. Sijuia uwa wanagawana huko
 
Acha wafuatilie wanaopeleka hela zao, sasa kama mtu hajapeleka hela huko aifuatilie jatu ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…