JATU ni Mr Kuku mwingine, ni swala la muda tu

Bora ungekaa kimya
 
Wale wale
 
Wanajamvi mpeni muongozo.

NB: Nimegundua matapeli wanatumia akili sana katika kazi zao.
 
Kila la kheri mkuu.

Siku nyingine usijibizane na Stupid
 
Kila la kheri mkuu.

Siku nyingine usijibizane na Stupid
Wengi tuko huku pembeni na stupidity zetu, mfano tulinunua mahisa ya Precisionair, mwaka wa 10, loss no dividends, na mahisa hayauziki. Ile hela tumewahonga wanaume wenzetu. CMSA DSE wapo!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wengi tuko huku pembeni na stupidity zetu, mfano tulinunua mahisa ya Precisionair, mwaka wa 10, loss no dividends, na mahisa hayauziki. Ile hela tumewahonga wanaume wenzetu. CMSA DSE wapo!

Everyday is Saturday............................... 😎
Poleni sana wakuu.
 
Mimi nawaelewa sana kwasababu biashara yenu ni tangible na inaonekana.

Tatizo langu siiamini kabisa business model mnayotumia ( Network marketing ).

Unless mtakuja kubuni aina nyingine, network marketing business model does'nt work in the long run.
 
Mimi nawaelewa sana kwasababu biashara yenu ni tangible na inaonekana.

Tatizo langu siiamini kabisa business model mnayotumia ( Networking ).

Unless mtakuja kubuni aina nyingine, network marketing business model does'nt work in the long run.
Network marketing kama hii hii ya Qnet na FOREVER??
Basi sawa! Wanufaika ni rahisi kuwafahamu

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Poleni sana wakuu.
Asante, hivi vitu ukivisoma SANA, utakuja kugundua ni kama FOREX kuna mambo ya insider info, tusione watu wanatembelea range rover sports, kwa kuwa wana vikundi vya kibinafsi ndani yake. Wanufaika.

Ukiangalia hisa za NMB inayotengeneza faida haziuziki, ila ghafla mfano jana zimeuzwa za thamani ya 1.4Bn.

Everyday is Saturday............................ 😎
 
Ndio maana nimesema hawa wanatumia akili sana, wanaweka mipango ambayo inachukua wakija kufanikiwa ni kulipua Bomu ndani ya sekunde na kuleta madhara makubwa.

Huu uhamasishaji wanaoufanya kwa kila mbinu sio wa mchezo mchezo.

Tuendelee kuelimishana ili tusiendelee kuumizwa
 
Huko DSE tayari kuna notice nimeona website yao, suspension ya mauzo ya hisa za JATU.
Tuendelee kutizama, watatangaza faida kwenye financial statements zao.

Everyday is Saturday............................... 😎
ndo zinauzwa 500 siyo?
 
Sio Fact ni mawazo yako lakini mara nyingine mawazo yanakuwa sahii..sijui lengo la jatu ni nini Kama lengo ni kuwa tajili sijaona haja yakuomba kampani ya kipesa kwa watu kwa mfumo wa uwekezaji Tena kwa bei raisi pia kwa soko la bongo kuhusu kilimo tunabet so asitake kutuaminisha Kama nchi ya baba ake.
 
Hawa jamaa mwanzoni walianza taratibu pasipo kujitangaza kivile, ila sasa naona sijui taasisi yao imeimarika au ndio fursa kwao zimeongezeka...

Anyway wakati mwingine ili ufanikiwe unatakiwa uingie kwenye calculated risks...

Weka mpunga kidogo, sikilizia or else achana nao kalime mwenyewe vitunguu Ruaha au Singida huko
 
ndo zinauzwa 500 siyo?
Walianzia 500 kuna siku zilikuwa DSE zinauzwa mpaka zaidi ya 1200, bei iliyokomea juzi kati.
Kwa mantiki hii, mimi nikinunua hisa 1,000 kwa 500, ni 500,000, nikiziuza kwa bei ya 1,500 napata 1,500,000..bei ikishuka kuwa 1,200 nanunua tena napata hisa zangu 1,000.

Trend yake binafsi nilikuwa sijui kama kulikuwa kumejaa speculators au??

Ila hivi vitu muhimu SANA kusoma, na watz hatuna utamaduni wa kusoma, tunapenda kuhadithiwa, tukisimuliwa, hatuchuji, ndiyo maana jamaa wa tuma kwenye namba hawawezi kuisha.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Aisee umewaza kama mimi vile leo nimetoka kuona tangazo lao la kununua hisa kwa alfu tano nikawaza tu huyu ni mr kuku mwingine
 
Huwezi list kampuni pale DSE bila kutimiza vigezo.
 
Mkuu hao wapiga soga achana nao heb tupe maelezo ya namna ya kufaidika na hisa za hii kampuni kma nikitaka kuwa mwanahisa....hz kelele achana nazo humu tupo watu wa aina tofauti,kila mtu anawaza kivyake na kila mtu anakula kwake,hapa tumekutana tu....lete vitu mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…