Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
WACHAWI WAWEKA MKUNGU WA NDIZI KWENY JENEZA
Unazingua sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WACHAWI WAWEKA MKUNGU WA NDIZI KWENY JENEZA
Appreciate mkuu,kampuni hizi hata mr.kuku kuna kitu wanakificha huku wanatamanisha watu KWA faida no-no no-no.Wajinga ndo waliwaoEbu tuangalie mtu aliyelima hekari moja mwaka jana na mwaka huu anapata nini (kama atakipata)
Gharama za kulima shs. 904,200
Kati ya hizi, wanakukopa 2/3 =shs. 602,800
Wewe unlike shs 301, 399
Mwaka huu wamesema wamevuna gunia 22 kwa ekari.
Kwa hiyo:
Wao wananunua gunia moja kwa shs. 56,000
22 x 56,000 =shs. 1,232,000 (Hii ndio pesa wanayokwambia ni faida) kwenye vikaratasi.
Hawakwambii yafuatayo.
Tax 2% of 1,232,000=24,640
Kuna gawiwo (hili ni kichaa tu ndo anaweza kulielewa) shs. 3000 kila gunia =3000 x 22 =66,000
Mkopo wao 2/3 =602,800
Eti mwaka huu kulikuwa na ongezeko la shs. 53,000 kwenye gharama za kilimo.
Kukodisha ekari moja ni shs. 100000
Jumla ya makato yote haya ni shs. 846,440
Chukua sasa faida yako shs. 1,232,000-shs. 846,440 =shs. 385,560
laki 385,560 ndo hela utakayopata baada ya kusubiri mwaka mmoja. Sasa hii laki tatu kuja kuipata! Unaweza kusubiri hata miezi mitatukabla hawajakupa, kupokea simu yako nk.
Sasa jiulize. Wewe ungejilimia mwenyewe muda wa mwaka mzima ungekuwa wapi?
Ukiongeza usumbufu wao? By the way, katika huo muda, wanakulazimisha kununua kilo 100 za chakula. Hiyo inapunguza sana balance yako ya laki 3.
Sasa hii ndio Jenga Afya Tokomeza Umaskini??
Au "lima na sisi ondoa stress"?
Pima mwenyewe na chukua hatua! Kama kuna mtu wa Jatu anayepinga hizi data aje hapa aseme. Maana huko nyuma nimeona mnaleta karatasi.
HAWALIPI, Watu wanadai pesa zao mwaka wa pili huuEbu tuangalie mtu aliyelima hekari moja mwaka jana na mwaka huu anapata nini (kama atakipata)
Gharama za kulima shs. 904,200
Kati ya hizi, wanakukopa 2/3 =shs. 602,800
Wewe unlike shs 301, 399
Mwaka huu wamesema wamevuna gunia 22 kwa ekari.
Kwa hiyo:
Wao wananunua gunia moja kwa shs. 56,000
22 x 56,000 =shs. 1,232,000 (Hii ndio pesa wanayokwambia ni faida) kwenye vikaratasi.
Hawakwambii yafuatayo.
Tax 2% of 1,232,000=24,640
Kuna gawiwo (hili ni kichaa tu ndo anaweza kulielewa) shs. 3000 kila gunia =3000 x 22 =66,000
Mkopo wao 2/3 =602,800
Eti mwaka huu kulikuwa na ongezeko la shs. 53,000 kwenye gharama za kilimo.
Kukodisha ekari moja ni shs. 100000
Jumla ya makato yote haya ni shs. 846,440
Chukua sasa faida yako shs. 1,232,000-shs. 846,440 =shs. 385,560
laki 385,560 ndo hela utakayopata baada ya kusubiri mwaka mmoja. Sasa hii laki tatu kuja kuipata! Unaweza kusubiri hata miezi mitatukabla hawajakupa, kupokea simu yako nk.
Sasa jiulize. Wewe ungejilimia mwenyewe muda wa mwaka mzima ungekuwa wapi?
Ukiongeza usumbufu wao? By the way, katika huo muda, wanakulazimisha kununua kilo 100 za chakula. Hiyo inapunguza sana balance yako ya laki 3.
Sasa hii ndio Jenga Afya Tokomeza Umaskini??
Au "lima na sisi ondoa stress"?
Pima mwenyewe na chukua hatua! Kama kuna mtu wa Jatu anayepinga hizi data aje hapa aseme. Maana huko nyuma nimeona mnaleta karatasi.
Kwa sheria na kanuni za soko la hisa kampuni haiwezi kula pesa ya wanahisa hadi walipwe chao.Dah jana kuna dada, kaenda kununua hisa za laki tatu, namjua juu juu, nimemuhoji inakuaje iyo jatu, blah blah nyingi.
Duh kwaiyo wameshamkamua?