Jawabu kwa Lord Denning: Mikataba mithili ya IGA inayotaja gharama halisi za miradi ipo hapa Tanzania

Mi nilivyomuelewa ni kwamba hatukutakiwa kuwa na IGA na HGA kwani mikataba hii inatoa nguvu kwa nchi'' "Hakuna sababu ya IGA wala HGA, isipokuwa kama hatuelewi maana na umuhimu wa state sovereignty"
Yeye kaja na mifano ya Helios na makampuni mengine kuwa wao wana mikataba inayokuwa na sura ya IGA (framework contact) na HGA (project contact)
 
Haya mambo mawakili wanaogonga mikataba ya kuuziana boda boda huko Mbeya hawawezi kuyajua
Ubobezi halisi wa kitu, ni kuwa na uwezo wa kuyafanya yale unayojua yaeleweke na watu wa kawaida. Kufanya vitu rahisi kwa kila mtu wa kawaida, hata hao mawakili unaowataja wakiwamo.
 

You have provided an elaborate explanation about IGA and HGA.

Pro-IGA want the Tanzanians to believe that HGAs will have clauses that protect the sovereignty of Tanzania. However, a host government agreement (HGA) is a legal document or contract between a foreign government and a foreign investor or company, outlining the terms and conditions for the investor's operations within the host country. The HGAs, with respect to the contested IGA, will have similar nasty clauses.

HGAs are typically used to address issues related to foreign direct investment (FDI) and establish a framework for collaboration between the host government and the investor. Some key elements typically covered in a host government agreement may include:

1. Legal Framework: The agreement establishes the legal basis for the investor's presence and operations in the host country, often by referencing existing laws and regulations. In our case, the legal basis is the signed controversial IGA.

2. Investment Protection: It outlines the specific protections and guarantees that the host government provides to the investor, such as property rights, repatriation of profits, fair treatment, and dispute resolution mechanisms. The contested IGA has clauses that are fundamentally contrary to our Katiba and other laws e.g. THE NATURAL WEALTH AND RESOURCES (PERMANENT SOVEREIGNTY) ACT, 2017


3. Dispute Resolution: HGAs typically include mechanisms for settling disputes between the investor and the host government, commonly through arbitration or by referencing international investment treaties. The IGA has contested "dispute resolution" clauses.
 
Umeelezea vizuri sana hadi mie ngumbaro nimeelewa .
Kuna youtube channel nimeisahau jina nafikiri kitu kama 'yutube by example' nao walikuwa wanafanya kitu kama ulichofanya hapa. Kuelezea complex issue in a very simplified way kwa kutumia mifano rahisi.
Ubarikiwe sana
 
Nikupongeze Mama Amon kwa uchambuzi wako mzr, ila kuna maelekzo umeyatoa na mifano ya mkataba ambayo inakinzana na hoja iliyopo na hoja ya mtu uliyemnukuu kwenye andiko lako hili.

Kwanza, ufafanuzi wako umeanza kwa kuandika bayana "Mifano ya Mikataba isiyohitaji IGA na HGA.." Kisha ndio ukaanza kuitaja kwa kuchambua Mikataba ya Kampuni ya Helios na Mitandao ya Simu ya Tanzania na ukaenda kueleza na vifungu vya ghrama, Pango nk. (Kwa maelezo yako, mifano hiyo ya mikataba ndio hiyo ya kundi hilo ulilokoleza la kutohitaji IGA na HGA).

Lakini, mkataba wa DPW na Tz una IGA na pia inaelezwa kuwa utakuwa na HGA. Sasa tulitegemea kuwe na Mkataba wenye nature ya namna hiyo aidha serikali ilishawahi ingia huko nyuma hapa Tz au nchi nyingine ambayo imeingia mkataa wa namna hii halafu ndani ya hiyo IGA kuwe na vifungu vya gharama, malipo, muda, mgawanyo wa fedha, na mengine yote kama ambavyo itakuwa ktk actual site contracts/aggreement.

Mifano uliyotoa sio sahihi na inajicontradict.
 

..nilivyomuelewa Dada yetu Mama Amon ni kwamba Dp World wanatakiwa ku-deal na TPA kama ilivyokuwa kwa Ticts.

..hakukuwa na haja ya kwenda BUNGENI kwa ajili ya mkataba wao, na zaidi hakukuwa na ulazima wa kubadili sheria zetu kukidhi mkataba au mahitaji ya Dp World.
 
Kweli lugha yetu inatuficha mengi. Kwa uelewa wangu hapa ni kwamba kama mambo hayataenda vizuri, na ikiwa kushitakiana kutakuja basi, IGA ndio itatumika mahakamani. Kwahiyo wote tunaoamini katika HGAs kuwa zitakuwa na vipengele vizuri kulinda nchi tunajidanganya.
Am I correct?
 
Hujajibu swali langu. Ulichofanya ni kuweka maneno mengi ambayo hayajajibu swali langu!



Hiyo mikataba ukiyoweka hapo ni mikataba baina ya Kampuni na Kampuni wala siyo IGA au BIT baina ya nchi na nchi.

Hili ndo lilikuwa swali langu na wala hujalijibu hadi saivi
lisome tena!!
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
 
Narudia tena. Soma swali vizuri!

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
 
Hebu tuambie, ni sheria, au taratibu gani, unaotumika duniani, unaokataza kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato, kuoneshwa kwenye IGA, hata kama itakuwepo HGA mbele ya safari?
 
we unajulikana ni mtu wa hovyo unaokoteza vitakataka vyako unavyojua mwenyewe. Mkataba umeshapita kinasubiriwa utekelezaji, tafuteni dili nyingine
 
Hebu tuambie, ni sheria, au taratibu gani, naotumika duniani, unaokataza kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato, kuoneshwa kwenye IGA, hata kama itakuwepo HGA mbele ya safari?
Huo ni mjadala mwingine ambao unaweza kuanzisha uzi ili ujadiliwe kivyake.

Swali langu linasema hivi;
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Na nimesema hapa atakayeweza kulijibu hili swali vizuri atanilazimu kuondoa fake I'd yangu niliyokaa nayo humu tangu mwaka 2012 kwenye account zangu mbili tofauti. Ingawa moja siitumii tena nimebaki nayo hii ya Lord Denning
 
wenye nchi wameshaelewa we ni kibaraka tu mpotoshaji
 
hakuna ulichoelewa nyie wote ni mazuzu tu
 
we unajulikana ni mtu wa hovyo unaokoteza vitakataka vyako unavyojua mwenyewe. Mkataba umeshapita kinasubiriwa utekelezaji, tafuteni dili nyingine
Shut up man, unatuharibia mjadala kwa akili yako mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…