Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Hapo sasa hapo sasa ndio watu wameshikilia hapoukomo wa muda kwenye IGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa hapo sasa ndio watu wameshikilia hapoukomo wa muda kwenye IGA
Hakuna jibu hapoYuko Maktaba
Kwanini unashindwa kujibu swali nililokuuliza? hapa sio suala la mpaka mjadala uanzishiwe uzi, jibu kama kweli swali lako lina mantiki tujue.Huo ni mjadala mwingine ambao unaweza kuanzisha uzi ili ujadiliwe kivyake.
Swali langu linasema hivi;
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Na nimesema hapa atakayeweza kulijibu hili swali vizuri atanilazimu kuondoa fake I'd yangu niliyokaa nayo humu tangu mwaka 2012 kwenye account zangu mbili tofauti. Ingawa moja siitumii tena nimebaki nayo hii ya Lord Denning
Wewe zuzu tulia si umeshajibiwa swali lako mbon Mama Amon ameelezea vizuri tuKawajazia maneno mengi kuwapoteza maboya wabongo maana anajua wabongo ukiwawekea maandishi mengi wanadhani huyu mtu anajua kweli
Swali lililoulizwa ni jepesi sana ila alichofanya ni kupuyanga tu
Tajikistan kwenye hoja kuu. Mambo ya kuhamisha magoli ndo yanapoteza lengo la uzi.Kwanini unashindwa kujibu swali nililokuuliza? sio suala la mpaka mjadala uanzishiwe uzi, jibu kama kweli swali lako lina mantiki tujue.
Navyoona hapa wewe umeenda kutafuta IGA za wengine zikoje, ili tu uje kuutetea ule mkataba wa hovyo wa bandari, usijue wenzetu wana credibility zao, hawawezi kufanya mambo ya hovyo kama waliyofanya hawa wetu, wale sheria zinawabana wapo accountable.
Sasa ndio nakutaka utuambie, ni authority gani uliyoitumia au inayotumika duniani kusema kwamba, kwenye IGA, mambo ya viwango vya uwekezaji sio lazima yawepo, yatakuwepo kwenye HGA, ili tuijue nia ya swali lako, kama ni njema au hapana.
Kwa akili yako ya kijinga kuna jibu la hili swali hapo?Wewe zuzu tulia si umeshajibiwa swali lako mbon Mama Amon ameelezea vizuri tu
Ushajibiwa hapo au unajifanya huoni maelezo sasa ondoa hizo ID au tuwaite modsHuo ni mjadala mwingine ambao unaweza kuanzisha uzi ili ujadiliwe kivyake.
Swali langu linasema hivi;
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Na nimesema hapa atakayeweza kulijibu hili swali vizuri atanilazimu kuondoa fake I'd yangu niliyokaa nayo humu tangu mwaka 2012 kwenye account zangu mbili tofauti. Ingawa moja siitumii tena nimebaki nayo hii ya Lord Denning
Tajikistan ndio sheria inayotumika duniani, au ndio utaratibu?Tajikistan kwenye hoja kuu. Mambo ya kuhamisha magoli ndo yanapoteza lengo la uzi.
Ndo mana nasisitiza kama kuna hoja nyingine ianzishie uzi ijadiliwe kwa mapana yake!
Ushajibiwa wewe acha kujitoa akili ntachapa makofi soma tena maelezo ya Mama AmonKwa akili yako ya kijinga kuna jibu la hili swali hapo?
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Kwani huko Duniani kuna Nchi imewahi kuingia hiyo IGA na Kampuni binafsi ya Nchi nyingine?Hakuna jibu hapo
Hili ndo swali;
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Alafu soma jibu lake hapo ndo uone alichofanya ni kupuyanga tu, hajatoa jibu lolote
Unajua niliuliza swali gani? Na umeona alivyopuyanga huyo mtu wenuUshajibiwa hapo au unajifanya huoni maelezo sasa ondoa hizo ID au tuwaite mods
kwani Tanzania timesaini IGA na kampuni binafsi au Falme ya Dubai?Kwani huko Duniani kuna Nchi imewahi kuingia hiyo IGA na Kampuni binafsi ya Nchi nyingine?
Dominica njema!
Ila wewe uliyoandika hayo ndio unaona mwelevu. Tulizana, wekw makalio yako chini umpikie mumeo chai huna ujualo.hakuna ulichoelewa nyie wote ni mazuzu tu
😂😂😂😂🔥🔥🔥kwa
kwani Tanzania timesaini IGA na kampuni binafsi au Falme ya Dubai?
Soma tena alichoandika wewe hujasoma umekimbilia kujibu tuUnajua niliuliza swali gani? Na umeona alivyopuyanga huyo mtu wenu
Hili ndo swali langu;
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Haya niambie kama kalijibu au amepuyanga hapo?
Nimesoma chote na sijaona jibu la swali langu zaidi ya mtu kupuyanga tu na kwenda op kabisaaaaSoma tena alichoandika wewe hujasoma umekimbilia kujibu tu
We kweli kiazi kabisa ndio maana nikwambia hujasoma soma kwa kutulia sio unakimbilia kujibu tu, jibu lako ushapewa hapo juu unarukaruka sasa unataka jibu gani?kwa
kwani Tanzania timesaini IGA na kampuni binafsi au Falme ya Dubai?
Wewe unataka jibu gani mpaka mifano umepewa unataka jibu gani jingine? Yaan hujaelewa nini katika maelezo ya Mama Amon ambacho hujaelewa ni nini? Yaan watu km nyinyi inabidi uulizwe huku unalishwa makofi maana huelewiNimesoma chote na sijaona jibu la swali langu zaidi ya mtu kupuyanga tu na kwenda op kabisaaaa
Nimepewa jibu gani kulingana na hili swali?We kweli kiazi kabisa ndio maana nikwambia hujasoma soma kwa kutulia sio unakimbilia kujibu tu, jibu lako ushapewa hapo juu unarukaruka sasa unataka jibu gani?
soma hili swaliWewe unataka jibu gani mpaka mifano umepewa unataka jibu gani jingine? Yaan hujaelewa nini katika maelezo ya Mama Amon ambacho hujaelewa ni nini? Yaan watu km nyinyi inabidi uulizwe huku unalishwa makofi maana huelewi