sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Namuona sana kijana mmoja mtandaon anaitwa jay Combat.
Anajua kuimba nyimbo za uswazi almaaurufu mnanda au mchiriku au vanga.
Kiukweli toka atutoke duniani Juma Mpogo GOAT wa mnanda bado pengo lake alijawai kuzibwa.
Walikuwa wengi kabla ya General Mpogo na wakaja wengi baada yake ila bado hatujapata wa kuchukua kiti chake.
Mimi nimependa anachofanya Jay Combat haswa style yake ya live akiwakilisha ile culture ya mnanda.
Vipi mnamuonaje anaweza vaa viatu vya Mpogo au tuendelee kusubiri mwingine?