Jay Combat ndie mrithi wa Juma Mpogo au tusubiri mwingine?

Jay Combat ndie mrithi wa Juma Mpogo au tusubiri mwingine?

Swala paka nawalawala...
Toka chini kihuni nang'ang'ara...
Ghadhabu kama che gu wa Vara Vara...
Usilete ya tuku na gwalagwala...
Hili dance acha usela...
Dance tuone dance....
Dance tuone dance...
.
.
.
.
Sicheki na wowote naulinda wangu Moyo...
.
.
.
Wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
.
.
.
.
.
Piga makofi matatu...
Wakipekee ni mtu wa watu....
.
.
.
Kisingekuepo kifo, tungeishi mileleeeeee...
Tunywe tusilewe...
Usingekuepo mwisho, wote tungekwenda mbele..
.
Afya Bora hutunza ujana...
Uzee majaliwa, twalia Lia ukiwa..
Lala pema Chidi mchewa,
My pacha Doto sera..
Jay wa bishi kulala..
Arachuga siki faya..
Wako udongo mwili wa nyama, futi sita utazama...
Sisi wote wa labana, mkumbuke sali sana...
Iwe Nuru ya kiama....
Kesho kisingekuepo kifo tungeishi mileleeeeee....
.
.
.
Weeee... Wee.. wee Mushizo utawaua

Mamamae huyu jamaa ana balaaaaaaa
Jamaa akiimba na akiongea ni vitu viwili tofauti ,akizungumza kama Mange au Crazy GK.
 
Chama 1 moro town unazungumzia wabishi,
Wa kitambo sisi,
Watu wapya sisi....


Moro atoki boya hakika nimeamini
 
Back
Top Bottom