sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Nani kakudanganya?Pengo la mtu huwa halizibwi na mtu
Huyu jamaa ni balaa kipaji halisi kabisa, ninachompendea nyimbo zake Huwa ni darasa na ni nadra kukuta matusi au maneno ya ajabu ajabu kwenye nyimbo zake.Namuona sana kijana mmoja mtandaon anaitwa jay Combat.
Anajua kuimba nyimbo za uswazi almaaurufu mnanda au mchiriku au vanga.
Kiukweli toka atutoke duniani Juma Mpogo GOAT wa mnanda bado pengo lake alijawai kuzibwa.
Walikuwa wengi kabla ya General Mpogo na wakaja wengi baada yake ila bado hatujapata wa kuchukua kiti chake.
Mimi nimependa anachofanya Jay Combat haswa style yake ya live akiwakilisha ile culture ya mnanda.
Vipi mnamuonaje anaweza vaa viatu vya Mpogo au tuendelee kusubiri mwingine?
Generali Lupoz anajua sana GOAT wa mnanda. Nakumbuka tumekimbizwa sana na mandata tunaenda tandale uzuri kwenye vigoma tukitoka hapo ni umavimavi mwanzo mwisho duh noma sana Mpogo juma mpogo damu chafu Mungu amlaze mahali pemaWapo waliokuwa wako vizuri kwenye kupiga mitapa na kuimba, lakini hawakuhi kufikia level za hawa watu wawili. Mimi namuweka pale juu Khalfani wa Mizoga anaefuatia ni Juma Mpogo wa Lupoz. Case closed.
Ommy ommy alikuwa vizuri ila shughuli ya mpogo agusi yule ommy alifika mainstream ila uku underground hakuna alimgusa juma mpogoOmary Omary uliwahi kumsikia enzi zake?
jay combat anajua haat mimi nimempitisha ila anatakiwa awe na akili ya business maana naskia anakula ganja masaa 24 yeye mwenyewe hajui amefikaje sokoni πIla jay Kombat anakimbiza saivi huku uswazi, natamani kumuona akifika mbali.
Swala paka nawalawala...jay combat anajua haat mimi nimempitisha ila anatakiwa awe na akili ya business maana naskia anakula ganja masaa 24 yeye mwenyewe hajui amefikaje sokoni [emoji23]
πππ Aloohjay combat anajua haat mimi nimempitisha ila anatakiwa awe na akili ya business maana naskia anakula ganja masaa 24 yeye mwenyewe hajui amefikaje sokoni π
Nakupa mapenzi, nakupa vichangeSwala paka nawalawala...
Toka chini kihuni nang'ang'ara...
Ghadhabu kama che gu wa Vara Vara...
Usilete ya tuku na gwalagwala...
Hili dance acha usela...
Dance tuone dance....
Dance tuone dance...
.
.
.
.
Sicheki na wowote naulinda wangu Moyo...
.
.
.
Wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
.
.
.
.
.
Piga makofi matatu...
Wakipekee ni mtu wa watu....
.
.
.
Kisingekuepo kifo, tungeishi mileleeeeee...
Tunywe tusilewe...
Usingekuepo mwisho, wote tungekwenda mbele..
.
Afya Bora hutunza ujana...
Uzee majaliwa, twalia Lia ukiwa..
Lala pema Chidi mchewa,
My pacha Doto sera..
Jay wa bishi kulala..
Arachuga siki faya..
Wako udongo mwili wa nyama, futi sita utazama...
Sisi wote wa labana, mkumbuke sali sana...
Iwe Nuru ya kiama....
Kesho kisingekuepo kifo tungeishi mileleeeeee....
.
.
.
Weeee... Wee.. wee Mushizo utawaua
Mamamae huyu jamaa ana balaaaaaaa
We kama dini la thamaniSwala paka nawalawala...
Toka chini kihuni nang'ang'ara...
Ghadhabu kama che gu wa Vara Vara...
Usilete ya tuku na gwalagwala...
Hili dance acha usela...
Dance tuone dance....
Dance tuone dance...
.
.
.
.
Sicheki na wowote naulinda wangu Moyo...
.
.
.
Wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
.
.
.
.
.
Piga makofi matatu...
Wakipekee ni mtu wa watu....
.
.
.
Kisingekuepo kifo, tungeishi mileleeeeee...
Tunywe tusilewe...
Usingekuepo mwisho, wote tungekwenda mbele..
.
Afya Bora hutunza ujana...
Uzee majaliwa, twalia Lia ukiwa..
Lala pema Chidi mchewa,
My pacha Doto sera..
Jay wa bishi kulala..
Arachuga siki faya..
Wako udongo mwili wa nyama, futi sita utazama...
Sisi wote wa labana, mkumbuke sali sana...
Iwe Nuru ya kiama....
Kesho kisingekuepo kifo tungeishi mileleeeeee....
.
.
.
Weeee... Wee.. wee Mushizo utawaua
Mamamae huyu jamaa ana balaaaaaaa
Bila kuchoka wanangu wa mangayeNakupa mapenzi, nakupa vichange
Kipi hukipatiii...nakuhonga Tambo.....
Sijui Nini huko mbele anasema ππ
Aaah pilika... Pilika pilika za mtu mweusiBila kuchoka wanangu wa mangaye
Bila kuchoka wanangu wa doma msongozi
Skia skia [emoji23][emoji23]
Kwhan weee nhaaan!?
Skia skia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1430] [emoji1430] [emoji1430]
Kwa HeshimaaaAaah pilika... Pilika pilika za mtu mweusi
Generali Lupoz anajua sana GOAT wa mnanda. Nakumbuka tumekimbizwa sana na mandata tunaenda tandale uzuri kwenye vigoma tukitoka hapo ni umavimavi mwanzo mwisho duh noma sana Mpogo juma mpogo damu chafu Mungu amlaze mahali pema
Huo wimbo π₯π₯π₯Nakupa mapenzi, nakupa vichange
Kipi hukipatiii...nakuhonga Tambo.....
Sijui Nini huko mbele anasema ππ