Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Dah maskini yawezekana mengi yamemtokea kwenye hio ndoa.....mmmh ngoja na Gardner nae ajib picha lianze
kwanini alivumilia kama anajua kisimamia haki as she is claiming now?? am curious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah maskini yawezekana mengi yamemtokea kwenye hio ndoa.....mmmh ngoja na Gardner nae ajib picha lianze
kwanini hakusema alipoumizwa? na kwanini kwenye social media na sio mahakamani.Kusema ni njia ya haraka ya kumaliza maumivu!
Dhana za aina hii ndio zinafanya watu waendelee kunyanyaswa na wame zao na wengine wanafikia kuvunjwa miguu na wanaendelea kuvumilia!
Kama Mmeoana ili kuvumiliana ndio tatizo..kama unaona umemshindwa mtoto wa mtu ni bora kumuacha kuliko kumpiga...
Kwa Mawazo haya yako nasikitika kugundua kwamba huko tayari ndugu yako avunjwe miguu lakini aendelee kuvumilia ...aiseee
kwanini alivumilia kama anajua kisimamia haki as she is claiming now?? am curious
hivi akiambiwa sasa aoneshe ushahidi ataonesha hii picha??? coz si ajabu kidole kilishapona hata kovu hakuna, kwanini alivumilia manyanyaso.Kusema ni njia ya haraka ya kumaliza maumivu!
Dhana za aina hii ndio zinafanya watu waendelee kunyanyaswa na wame zao na wengine wanafikia kuvunjwa miguu na wanaendelea kuvumilia!
Kama Mmeoana ili kuvumiliana ndio tatizo..kama unaona umemshindwa mtoto wa mtu ni bora kumuacha kuliko kumpiga...
Kwa Mawazo haya yako nasikitika kugundua kwamba huko tayari ndugu yako avunjwe miguu lakini aendelee kuvumilia ...aiseee
Sema mapenzi yasiyo na tija sio siasa
Mmh Paula wakati mwingine wanawake tunapofushwa na mapenzi mnoo huku tukiamini labda hakukusudia au atabadilika sasa siku ukishtuka na kujua huu ni unyanyasaji ndo hivi unashuhudia ili wanawake wenzio wasifanye same mistake
Talaka ni haki ya mtu yeyote ...
Kimsingi bado yuko kwenye ndoa maana ndoa yao haijavynjwa! Kuchelewa kusema ni bora kuliko kutosema kabisa!
Say no to domestic violence!
Jana Msanii Lady Jaydee alipost picha akionesha kidole cha Mtu aliyeumizwa. Leo kapost akisema kuwa kile kidole kwenye picha ni chake. So, captain alikua anatoa kichapo?
Mwanamke hapigwi na ngumi. Stop domestic violence , Paza sauti, Okoa mwanamke.
View attachment 202408
View attachment 202409
View attachment 202410
View attachment 202411
ubondwe ushikiwe kisu utishiwe kuuwawa useme hakukusudia??? sio useme she was ignorance hakujua what to do, hivi angemuuaga siku moja haya angeyasemea wapi???
siungi mkono kunyanyaswa kwake coz hata mimi nimeolewa nisingependa yanikute hayo,ila sikubaliani naye kwa kuyaficha mpaka wameachana ndio aseme, nia yake hasa hapa ni nini??? hivi maana ya DIARY ni nini?? diary of ledy jd, kila siku ni kutuonesha jinsi anavyonunua samaki mara maua mara anapikia mbwa, mara anajifunza kareti, is those the staffs she normally kept on her diary???? alafu mambo ya hatari hivyo akaficha wakati yeye based on her status alitakiwa kuwa mfano kwa wengine.
so what is she try to tell, wakati mapenzi bado yapo moto vumilia manyanyaso yakiisha let them out?? ningemuona jasiri na mjua haki kama angeyasema toka mwanzo awe mfano. hapa anatafuta kick tu na attention ya kuhurumiwa.
Naikumbuka sana hii issue ya Jide kupasuliwa kidole. Alipigwa na Gadna, na hakuumia kidole pekee ila aliumizwa sehemu kadhaa za mwili wake, ikiwemo kunyofolewa nywele. Nakumbuka kipigo hicho kilikuwa mwanzoni mwa mwezi March hivi mwaka jana (kama sikosei).
Kilikuwa ni kipigo kibaya sana na kwa kiasi kikubwa kilisababisha kuzorota sana kwa ndoa yao, kwani baada ya tukio Jide aliripoti Polisi, lakini akaambiwa warudi nyumbani wakayamalize. Na kwa kuwa alitishia kumuua ikabidi Jide aikimbie nyumba yake kwa muda na kwenda kwa mama yake Kiwalani.
Chanzo cha kipigo hicho kilikuwa ni tukio lililoanzia pale Nyumbani Lounge. Nilikuwepo siku hiyo, na kilichotokea ni kwamba Gadna siku hiyo likuwa amekunywa pombe sana na kuwa amelewa kupita kiasi. Jide alikuwa amechukizwa sana hali ya jamaa kulewa kiasi kile.
Ilifika wakati Jide alikuwa akitaka kurejea nyumbani, na kwa kuwa walikuwa wakitumia gari moja, akawa amemtumia watu mara kadhaa kumuita ili waondoke, lakini Gadna akawaambia asubiri na mwishowe Jide akaamua kumfuata mwenyewe na alimweleza anamsubiri dakika tano vinginevyo atamuacha. Baada ya kusubiri kwa muda huo, akaamua kumuacha.
Sasa baada ya tukio hilo, Gadna alitafuta usafiri wake kwa wakati wake na baada ya kufika nyumbani ndio hicho kipigo kikaanza. Kama sikosei baada ya kipigo hicho, ndipo Jide alipoanza mafunzo ya kujihami ya Karate. Nadhani ilikuwa ni kwa ajili ya kujihami kwa vipigo.
Kiukweli karibu ndugu wote wa Jide walikuwa wakimlaumu kwa kuendelea kuishi na Gadna kwa hali ya vipigo vya mara kwa mara, ila ndio hivyo dada yao alikuwa amezama haswa kwa mshikaji kiasi kwamba alikuwa akijitahidi kuvumilia mambo mengi ya kumuumiza kwenye ndoa yao.
Hivyo, kama aliamua kuiweka tena hii picha ya kupasuliwa kidole, basi itakuwa ametaka mashabiki wake wajue alivyokuwa akipata vipigo kwa Gadna.
Ova
We umefuata nini huku,
Hapa tunaongelea domestic violence!!, siku Dada ako alipigwa na shemeji yako,utamtetea Shem wako kisa unakaa kwake na kakupa makochi ulalie?