Wameumbuka kivipi ilhali huyo kibibi ndiyo aliyeanzisha bifu?
Wakizungumza na mzee wajikoni blog wamedai kipindi walipotimuliwa na majani na kuhamia kwa jaya dee na gadner kupitia kampuni yao ya jag waliwanyonya sana kwani pamoja na album yao ya taswira kuuza sana waliambulia milioni 2 kila mmoja
Source mzee wa jikoni
Wameumbuka kivipi ilhali huyo kibibi ndiyo aliyeanzisha bifu?
ndio wamegundua baada ya kuona show ya Jide ilivyobamba?Wakizungumza na mzee wajikoni blog wamedai kipindi walipotimuliwa na majani na kuhamia kwa jaya dee na gadner kupitia kampuni yao ya jag waliwanyonya sana kwani pamoja na album yao ya taswira kuuza sana waliambulia milioni 2 kila mmoja
Source mzee wa jikoni
sina haja ya kusema bwa chuchu ukweli unajinesha kuwa wao ndio wameumbuka alieanza sio JD alieanza ni huyo huyo mwana Faty..kwanini alitweety habari ambayo haimuhusu kama hakupenda ugomvi??kwa nini watanzania mnapenda kunyonywa hivi????Wameumbuka kivipi ilhali huyo kibibi ndiyo aliyeanzisha bifu?
sina haja ya kusema bwa chuchu ukweli unajinesha kuwa wao ndio wameumbuka alieanza sio JD alieanza ni huyo huyo mwana Faty..kwanini alitweety habari ambayo haimuhusu kama hakupenda ugomvi??kwa nini watanzania mnapenda kunyonywa hivi????