Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Habari nzuri kama ni kweli maana itawasaidia sana walemavu, wale walio katika viungo.
hahaah, agenda ni biashara, wanatuuzia Pikipiki kwa bei ya kutupa, kisha zinatuvunja mifupa, then viungo vinauzwa kwa bei ya ajabu,
hakuna huruma wala nini.
Hapo ndipo mimi ninapochoka kabisa!Mazee kwa ku connect the dots tu hujambo, kwa hiyo hapa ni kama pale unapouziwa printer kwa bei ya kutupa halafu unakuja kushtukia wino ukiisha kununua wino mpya ni expensive kuliko mafuta ya gari, ukinunua cartridges mbili tu ushapitiliza bei ya printer mpya.
Unaweza kuwa tempted kununua printer mpya kila wino ukiisha !
Wamlipe hiyo chata ya Jay Dee wetu, aidhulu % fulani. :becky:
Wamlipe hiyo chata ya Jay Dee wetu, aidhulu % fulani. :becky:
Mkuu huoni kama kuna utofauti hapo hiyo imeandikwa JAYDEE na binti kilio ni JAY DEE
Ha ha haa uwii mbavu zangu mwe!mimi nimeona Mwanza pikipiki zinaitwa Maganga na Masanja............
Kwani hata kule kunako geshi la nchi hiii. Kure kira mutu ni mwanageshi walikataa kutoa nauli kwa rire rigari rimeandikwa TATA! Kisa ni Rigari ra TATA inakuwaje walipishwe nauli?