Jay Dee Picture

Jay Dee Picture

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
jd.jpg
attachment.php
 
mchina huyo, mchina balaaa,
nasikia eti Wachina wameanzisha viwanda vikubwa vya kutengeneza viuongo bandia vya binadamu.
 
mchina huyo, mchina balaaa,
nasikia eti Wachina wameanzisha viwanda vikubwa vya kutengeneza viuongo bandia vya binadamu.
Ni Habari nzuri kama ni kweli maana itawasaidia sana walemavu, wale walio katika viungo.
 
Ni Habari nzuri kama ni kweli maana itawasaidia sana walemavu, wale walio katika viungo.

hahaah, agenda ni biashara, wanatuuzia Pikipiki kwa bei ya kutupa, kisha zinatuvunja mifupa, then viungo vinauzwa kwa bei ya ajabu,
hakuna huruma wala nini.
 
hahaah, agenda ni biashara, wanatuuzia Pikipiki kwa bei ya kutupa, kisha zinatuvunja mifupa, then viungo vinauzwa kwa bei ya ajabu,
hakuna huruma wala nini.

Mazee kwa ku connect the dots tu hujambo, kwa hiyo hapa ni kama pale unapouziwa printer kwa bei ya kutupa halafu unakuja kushtukia wino ukiisha kununua wino mpya ni expensive kuliko mafuta ya gari, ukinunua cartridges mbili tu ushapitiliza bei ya printer mpya.

Unaweza kuwa tempted kununua printer mpya kila wino ukiisha !
 
Hapo ndipo mimi ninapochoka kabisa!
 
Wachina bwana sijui wamelitoa wapi hilo jina!
 
Sasa acha hiyo kuna nyingine inaitwa CHUMA (pikipiki na helmet) nimeziona pale buguruni nikasema kweli Mchina nuksi...si ajabu tukakutana na brand nyingine za Mchina zenye majina kama Mwanamosi, Masantula nk...jamaa ni noma kila biashara sasa wamevamia nahofu wasije kuleta mradi wa nyumba nafuu za kichina manake wanavyojua kusoma mahitaji ya soko la nchi husika..wanatafiti masoko na kuleta bidhaa...ila vimeo kibao...kwa kweli sasa hakuna linalomshinda jamaa na ukizubaa unapigwa changa unajiona hivi hivi..
 
sikuhizi ukitaka nguo simu pikipiki nk kwa jina lako we mpe mchina order na jina imekwisha
 
Hata Dupri anaitwa JAYDEE!!
Hata hivyo ukiwa na jina ambalo undhani litauza we toa oda kiwanadani! ndy maana kuna mashati ya 50cent, ronaldo, brazil, tanzania!
Hiyo haina shida, tena pkpk za mchina mbona naskia engine zake nzuri sana, kuvunja miguu watu ni matatizo ya waendeshaji! we unafkiri HONDA ya mjepu ndy haitakuvunja mguu!?
 
Haya wacha walete na hivyo viungo bandia, lakini tujihadhari wasije wakavipa jina ngangari kwa maana vinadumu milele.
 
Kwani hata kule kunako geshi la nchi hiii. Kure kira mutu ni mwanageshi walikataa kutoa nauli kwa rire rigari rimeandikwa TATA! Kisa ni Rigari ra TATA inakuwaje walipishwe nauli?
 
Jay dee ni jina la kisanii,ingekuwa zimeandikwa Judith Mbibo Wambura angalau,Buy Jay dee is not registerd name so anybody can use with no offence...
 
Kwani hata kule kunako geshi la nchi hiii. Kure kira mutu ni mwanageshi walikataa kutoa nauli kwa rire rigari rimeandikwa TATA! Kisa ni Rigari ra TATA inakuwaje walipishwe nauli?

ha ha ha h aha :becky::becky::becky: TATA=BABA kure kwetu kwa hiyo ni rigari ra baba!!!!:smile-big:
 
Back
Top Bottom