Nimekosa maneno ya kuandika naomba muangalie tu huyu fundi alikuwa anawafanya nini mabeberu.
Kama ana undugu na Gaucho kwa mbwembe na Messi kwa upigaji mipira na faulo.
Cristiano Ronaldo anasubiri kwakweli. Afrika tulipata wawakilishi wazuri sana enzi hizo.