Jay Jay Okocha The Playmaker and Pisstaker hatari tupu!

Jay Jay Okocha The Playmaker and Pisstaker hatari tupu!

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
12,823
Reaction score
21,210
Nimekosa maneno ya kuandika naomba muangalie tu huyu fundi alikuwa anawafanya nini mabeberu.
Kama ana undugu na Gaucho kwa mbwembe na Messi kwa upigaji mipira na faulo.
Cristiano Ronaldo anasubiri kwakweli.

Afrika tulipata wawakilishi wazuri sana enzi hizo.
 
Back
Top Bottom