Jay Melody (Jay once again) Vs Marioo(Toto bad)

Jay Melody (Jay once again) Vs Marioo(Toto bad)

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Ngoma za wasanii hawa wawili zinapishana katika playlist yangu muda huu, nashindwa kuamua nani ni mkali kwani ngoma zote ni za moto.

Mdau wa muziki wa kizazi kipya, kwa sikio na jicho lako, yupi ni mkali wa maandishi, melody, sauti na performance ?


PicsArt_07-23-10.26.17.jpg
 
Mimi najua wanaimba mziki
Kumbe kiroho bado mweupe

Kuna nyimbo za mungu na za shetani

Marioo na jay wanaimba za shetani zinafundisha tabia mbaya watu hawaendi kanisani

Halafu wananyoa kishetani na kuvaa micheni kama minyororo ya kuzimu.

Wanatamka maneno ya kishetani kama 'zombie' ambayo ukiwaiga moja kwa moja unaingia freemason
 
Back
Top Bottom