Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
coma sava....Sasa kama linabana na kutight asiseme 😂
jay melody-kwa wanawakeLakini ni mwimbaji mzuri
.....Mwanaume aliyetailiwa bila ganzi hawezi kusikiliza huu upuuzi
....
....
.....
Sasa mkuu kwa maana hiyo, mtaani kwa sasa kuna mafrimasons wangapi?Wanatamka maneno ya kishetani kama 'zombie' ambayo ukiwaiga moja kwa moja unaingia freemason
Kabisa mkuu ni msanii mzuri.Kweli anajua lakini ameamua tu kuzipa amapiano kipaumbele, lakini bado ni mwimbaji mzuri