Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Jay kipenzi cha waremboJayMelody!
Mpaka sasa 2-0Jay Melody
Yah!Jaman nyie watoto wa kike bob Manson ameuliza nani mwenye ngoma kali sio nani mkali!
Kipenz cha kina dadaYah!
Jay Melody anaimba vitu vinafika kumoyo 😍
Wengine wanasema jamaa amapiano zimemnogea haimbi vizuri tena kama mwanzoMarioo ni mkali hivyo vyote dhidi ya Jaymelody, dogo anabadilika sana.
Kwa vijana wa sasa Marioo yuko vizuri sana.
Jay kaimba matusi wapiWote wanaimba matusi,
Wote wataenda motoni.
Mimi najua wanaimba mzikiWote wanaimba matusi,
Wote wataenda motoni.
Amna bna dogo anajua sana huyu aisee, kuna pini remix na Ay iko poa na sio amapiano..Wengine wanasema jamaa amapiano zimemnogea haimbi vizuri tena kama mwanzo
Baridi imejaa matusiJay kaimba matusi wapi
Kweli anajua lakini ameamua tu kuzipa amapiano kipaumbele, lakini bado ni mwimbaji mzuriAmna bna dogo anajua sana huyu aisee, kuna pini remix na Ay iko poa na sio amapiano..
Lakini ni mwimbaji mzuriBaridi imejaa matusi
Kumbe kiroho bado mweupeMimi najua wanaimba mziki
Sasa kama linabana na kutight asiseme 😂Baridi imejaa matusi