Jay Melody ni kwamba hana hela ya video? Wimbo ndiyo unaishia hivyo

Jay Melody ni kwamba hana hela ya video? Wimbo ndiyo unaishia hivyo

Huyu bwana mdogo anafeli sana, ametoa hit lakini hataki kutoa video. Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana.

Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye fedha zetu hatuwezi kushindwa kumpa milioni 30 atoe video.

Sasa wimbo mkali anachelewa kutoa video, atashangaa akitoa video wimbo ushasahaulika.
Mm mwenyewe nilijiuliza hiki kitu.
 
Anajitahidi pia bila video... just be positive mkuu.. maana ina views 9 million bila video... hiyo inatosha sana kwake
 
Nyimbo zenyewe ndio hizi mara sijui inaifinyia kwa ndani si kweli, hamna kitu hapa.
 
Back
Top Bottom