Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Sio 2013sijawai kuuusikia alfu mkuu 2013 kweli hadi leo?hivi we bado ni msanii.....kaka pambana na hali yako
sijawai kuuusikia alfu mkuu 2013 kweli hadi leo?hivi we bado ni msanii.....kaka pambana na hali yako
hahahaaaAnother version of Dr
SHIKA.
Dish limeyumba huyo. Mara anataka urais, Mara Bongo flavor, Mara padre Na wakati mwingine mchomeleaji Mara mwalimu.sasa mbona hujauweka hapa tuusikie
Unacheka ninhahahahahahah
Ni mtemi piaHhahahahaa Wewe Ni Mwalimu, Wewe ni Padri, Wewe ni Mwana siasa, wewe ni Msanii, wewe ni...... who is expert in everything is expert in nothing........................
Wire disconnectedUnacheka nin
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe ndio wewe jamaa wa "Nimepata demu"!!!?
Aiseee nitafute tufanye "remix" tupige hela mkuu