Jay Mo na Mwana FA walimpotosha Dj Nelly wakazima wimbo wangu Masqo wa "Nimepata Demu"

Jay Mo na Mwana FA walimpotosha Dj Nelly wakazima wimbo wangu Masqo wa "Nimepata Demu"

Hebu tuwekee audio tuusikilize na sisi tutoe maksi.
Hata ukiimba tu ukatuwekea itakuwa poa.
Ila najua unaota hakuna wimbo wala track.
 
Nilicho gundua baada ya kufautilia nyuzi katha za huyu jamaa ni mzima kabsaaaa sema ana cheza na akili za watu...aone reaction
 
mheshimiwa rais mtarajiwa amerudi kwa style nyingine.....nlikuwa cjui kama muheshimiwa ushawahi kuwa msanii🙄🙄🙄🙄🙄
 
Wimbo wako ndio ule "sina demu nakama unavyoniona mpenzi? Na nimekuchagua uwe wangu maishani, sio kwamba sitaki demu ila sijamuona mwenye sifa, uzuri kama wako ww malaika wangu" kama ulikuwa huu wimbo basi we jamaa ulikuwa mkali ila kama mwingine we jamaa hauna kitu.. labda ukatest na singeri
 
Back
Top Bottom