Jay Mo na Mwana FA walimpotosha Dj Nelly wakazima wimbo wangu Masqo wa "Nimepata Demu"

Hhahahahaa Wewe Ni Mwalimu, Wewe ni Padri, Wewe ni Mwana siasa, wewe ni Msanii, wewe ni...... who is expert in everything is expert in nothing........................
Jack of all trades, master of none
 
Hhahahahaa Wewe Ni Mwalimu, Wewe ni Padri, Wewe ni Mwana siasa, wewe ni Msanii, wewe ni...... who is expert in everything is expert in nothing........................
Pia ni mchomeaji
 
wewe jamaa yangu Kisandu
umetokea Kolomije?
unaambia Punga
unasema Masqo Pungo wamekosea
ungeuliza kwanza maana yake ndio ujijibu kwanini wameongezea
sio sifa hapo mazee
 
Back
Top Bottom