luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
hahaha chizi fresh mmeifukukua wapi hiiluambo makiadi njoo tumlaani mwana fa kwakumbania msanii wetu Masqo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha chizi fresh mmeifukukua wapi hiiluambo makiadi njoo tumlaani mwana fa kwakumbania msanii wetu Masqo
Yupo butimbaYupo nje kwa dhamana,case inaendelea,but butimba alikaa kama mwezi na ushee hivi!! Nadhani hata kazi yake ya ualimu ndo bye bye!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Heh heh nimecheka hadi basiHuu upepo ulivyomkali unasababisha dishi la huyu jamaa licheze
🤣🤣🤣🤣🤣sijui lina maana gani
Hahaha nimecheka sanaJamani tusilete utani, huyu Jamaa anahitaji tiba tena ya haraka.