Titans
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 1,459
- 3,369
Hello Wana JF,
mimi ni mshabiki mkubwa sana wa Jay MO yule wa kundi la wateule, huyu jamaa namu-admire sana anavo-flow hata na mesej na creativity ya nyimbo zake ,ukianzia alivoanza na zile nyimbo za zamani mpaka sasa,simsikii tena katika ulimwengu wa hip hop,mwenye kujua jamaa anaishu gani atujuze, isije kuwa kama jinsi wasanii wengi wanavoishia katika hali duni hapo Tanzania, ni kati ya wasanii waliokuwa chini ya Bongo Records ya Majani.
Baadhi ya nyimbo zake.
maisha ya boarding
kimya kimya
mvua na jua
famous
Vile Vile
story tatu (ina fanana na ya Ludacris)
https://www.youtube.com/watch?v=ubUZisBU_Q8
nk...