Jay MO, Yuko wapi huyu Legend asiyevuma?

Uyo ni mmoja kati ya Punda wa madawa ya kulevya aliyefanikiwa kupeleka mzigo south afrika na kujipatia senti kadhaa za kubadili mboga na kumlipia ada mdogo wake.

Ni mmoja kati ya wasanii waliomu-inspire magwea kujaribu kazi hii ya upunda wa madawa ya kulevya, hamadi mauti yakamfika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Source ya hii habari ni we mwenyewe, sio?
Is this info reliable?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwangu mimi Hashim Dogo ni noumer. Namkubali jaymo ilaalipoiga nyimbo ya Luda nikamuona sio!
 
Una hakika unachoongea au unafurahisha baraza tu? Una ushahidi wa lini kuwa south Africa na mdogo wake yupi anayesoma?
 
Duh
Africa nzima???????!!!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

tena dunia nzima jamaa hana mpinzani jay z,rick ross,diddy,na wengneo wote hawatii mguu kwa huyu Juma Mohammed Mchopanga
kwani hao wanaflow kwa lugha 1 wakati mo tech anaflow kwa lugha tatu kiswahili,kingereza na kimakonde
 
Basi jamaa ametisha. Kumbe ni mmakonde? Itabidi aingie kwenye Hip Hop Hall of Fame in Tanzania
 
Uyo ni mmoja kati ya Punda wa madawa ya kulevya aliyefanikiwa kupeleka mzigo south afrika na kujipatia senti kadhaa za kubadili mboga na kumlipia ada mdogo wake.

Ni mmoja kati ya wasanii waliomu-inspire magwea kujaribu kazi hii ya upunda wa madawa ya kulevya, hamadi mauti yakamfika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

mkuu nimesikitika kusoma hii comment yako, kama ni kweli sijui wasanii wetu wanaangukia katika hili janga kwanini?
 
Back
Top Bottom