Jay MO, Yuko wapi huyu Legend asiyevuma?

Titans

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,459
Reaction score
3,369
Hello Wana JF,

mimi ni mshabiki mkubwa sana wa Jay MO yule wa kundi la wateule, huyu jamaa namu-admire sana anavo-flow hata na mesej na creativity ya nyimbo zake ,ukianzia alivoanza na zile nyimbo za zamani mpaka sasa,simsikii tena katika ulimwengu wa hip hop,mwenye kujua jamaa anaishu gani atujuze, isije kuwa kama jinsi wasanii wengi wanavoishia katika hali duni hapo Tanzania, ni kati ya wasanii waliokuwa chini ya Bongo Records ya Majani.

Baadhi ya nyimbo zake.

maisha ya boarding
kimya kimya
mvua na jua
famous
Vile Vile
story tatu (ina fanana na ya Ludacris)

https://www.youtube.com/watch?v=ubUZisBU_Q8
nk...
 
wiki chache zilizopita tulishamjadili hapa...
So Go back then pitia thread moja moja ktk jukwaa hili Kaka...
 
juma yupo na bado ajakaa kimya kivile alitoa wimbo wa famous na majani kwangu mi binafsi najua kua yupo msanii moja tu wa hip hop tanzania ambaye ni juma mchopanga kuna nyimbo kama hizi: JIPANGE,MO CUMENTARY ETC.
 
east africa nzima hakuna msanii wa hip hop anaejua kama jay moe, tena Africa nzima sijaona..
 
Jay Moe habari nyingine sema basi tu huu mziki wa kibongo na hawa wadau ndo kikwazo.

Jay Moe alitakiwa kuwa na Mafanikio na heshima kubwa sana kwenye hii tasnia.
 
Msanii anaeweza kujitofautisha na wengne hapa Bongo

1.mashairi yamepangiliwa
2.hana papara na umaarufu alonao
 
More techinics ni msanii wa ukweli...kuna song ameimba na Solo thang,inaitwa FAMILY.
Jamaa amekamua vesi ya pili...dah ni balaa!!
 
kiukweli jay moe ni mkali mbaya kuna song moja linaitwa never be me ft mimms & immu aisee ni nouma mshkaji hana mpizani bongo
 
Yuko block 41 anakula bange kama hana akili nzuri
 
kweli wa ndugu mwenye no. ya simu naomba anigeee au email yke
 
Naona Gang Chomba amekuja na ID zake zote hapa.. just kidin
 
Last edited by a moderator:
Uyo ni mmoja kati ya Punda wa madawa ya kulevya aliyefanikiwa kupeleka mzigo south afrika na kujipatia senti kadhaa za kubadili mboga na kumlipia ada mdogo wake.

Ni mmoja kati ya wasanii waliomu-inspire magwea kujaribu kazi hii ya upunda wa madawa ya kulevya, hamadi mauti yakamfika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sometime nipo Northen Kenya, kwenye kambi za wakimbizi/
umaarufu ndo umefanya, mpaka niitwe kama balozi/
naenda mpaka vijijini, wakulima kuwafuta chozi/
ndo mana sionekani, nikizama maisha naya abuse/

mo tech,mawazo
Mo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…