Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Hip hop ya kisasa ni nzuri kama ikienda na burudani. Yaani ni kama Reggae music kwa sasa. Rege ya kzamani ilikuwa ni Msg zaidi but now ni msg + burudani zaidi.
Jay moe anajua sana but burudani inamkwamisha! Fid pia anajua sana but naye burudani inamkwamisha. Ni lazma tukubali kubadilika, tufanye music unaokubalika kwa sasa street, Hongera kwa Joh Makini kwa kuusoma mchezo. Joh hajatoka mazima kwenye Hip hop lakini amejiongeza kidogo na kwangu mimi ndiye mwana Hip hop anayebamba kwa wakati huu kibongobongo!!
Msg sawa lakini na burudani pia, labda kama unafanya music kama DINI lakini kama music ni kazi yako na biashara yako kujiongeza sawasawa na soko ni lazma na muhimu!!
Nimefurahishwa na Jahfarai kubadilika kidogo kwa track yake mpya aliyofanya na Cassim mganga, fresh sana!!
Jiongezeni wana Hip hop wangu Jay moe, kala pina, Prof J, Sugu, LWP majitu, na weengi niwapendao
...wengine kwetu 'burudani' ni kupata vitu conscious vya kufikirisha ubongo!
Na ndio mnaowafanya jamaa zetu hawa wakosewe heshma hata na watoto wadogo kama kina Yamoto Band!!
Kama wanafanya Hiphop kama dini ni vizuri wakaendelea na maBeat yao ya kigumu kutoka kwa P~phunk but kama music ni maisha na biashara ni lazma waangalie upya namna ya kukuza hii biashara yao!!
baada ya muda mrefu wa kusikilizishwa ngoma za uongo uongo za hip hop,makelele ya vichwa vya habari,vina vya kulazimisha,punch lines za kuunga unga,mistari ya kama kama mia tisa katika verse moja!hatimaye juma mchopanga,ukipenda muite jay moe au mo technic kaamua kuyaokoa masikio yetu toka utumwani kwa kudondosha jiwe moja la adabu!ngoma inaitwa hili game,mkono wa mdutch p funk majani!kwa wapenda vitu vizuri fanyeni kulisaka hilo pin mpate kuyatendea haki masikio yenu
Lirushie bhas mkuu au twende mkito. Jay moe namuelewa ila nimemiss hardcore hiphop ya tz.....mabovuuu.
Itupieni humu basi..yaani kwa upande wangu mm..huyu jamaa na fid ni undisputed..kisha hao wengine ndio waanze gombea moja hadi mwisho...
Hip hop ya kisasa ni nzuri kama ikienda na burudani. Yaani ni kama Reggae music kwa sasa. Rege ya kzamani ilikuwa ni Msg zaidi but now ni msg + burudani zaidi.
Jay moe anajua sana but burudani inamkwamisha! Fid pia anajua sana but naye burudani inamkwamisha. Ni lazma tukubali kubadilika, tufanye music unaokubalika kwa sasa street, Hongera kwa Joh Makini kwa kuusoma mchezo. Joh hajatoka mazima kwenye Hip hop lakini amejiongeza kidogo na kwangu mimi ndiye mwana Hip hop anayebamba kwa wakati huu kibongobongo!!
Msg sawa lakini na burudani pia, labda kama unafanya music kama DINI lakini kama music ni kazi yako na biashara yako kujiongeza sawasawa na soko ni lazma na muhimu!!
Nimefurahishwa na Jahfarai kubadilika kidogo kwa track yake mpya aliyofanya na Cassim mganga, fresh sana!!
Jiongezeni wana Hip hop wangu Jay moe, kala pina, Prof J, Sugu, LWP majitu, na weengi niwapendao
Kumbe Jaffarai ana mashabiki.
Ngoma fata link hii
(3.50mb)Download Jay Moe fEAT Deddy - HILI GAME.mp3