Jay Moe aonyesha utu uzima dawa katika hili game

Nimeiskiza ni ngoma kali. Japo haijafika viwango vya Jay moe. Tusubirie na mzigo wa Mwana FA asanteni kwa kuja.. Beat kafanya Hermy B, FA anakwambia vita kwa vina kumaaanina au twende bank.
Umesema Vita Kwa Vina....?Au Twende Bank,sijaelewa
 
Kweli superman amerudi,safii.
 
Mkuu avatar yako imenishtua sana.. Nikajiuliza haka kadudu kanafanya nini ndani ya simu yangu... Teh Teh.. Nimejaribu hata kukapangusa

Hahaha pole mkuu, haitojirudia.
 
...wengine kwetu 'burudani' ni kupata vitu conscious vya kufikirisha ubongo!

Hua unanunua kazi zao au unazidownload tuu? hawa jamaa wa zamani hawauwezi mziki wa sasa hivi maana pace yake ni kubwa kwa wao ku keep up sio unatoa single moja unapotea sasa hivi unasanda game ya sasa hivi inabidi baada ya miezi miwili mitatu unatoa ngoma....kwa kipindi kile waliweza sasa hivi hawawwzi....
 

Inategemea unamzungumzia nani. .Jay moe hatoi ngoma ili apate pesa ya kulipia kodi ya nyumba na ndo maana kuna mstari anakuambia kuna wasanii wanasukuma mipira ya hatari unaweza ukajua wanaishi nyumba za ghorofa. ....si kila msanii bongo ni kama nassib. ....kwa hip hop ya bongo ni chiddy benz tu alikuwa na pace ya Usain bolt. ..
 
Anarudi miaka kumi nyuma...
 
watu wanaangalia mpunga nowadays, heshima bila mkwanja si mali kitu
 

Hivi Eminem anaimba hip-hop gani na bado anauza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…