barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 149
Asante mkuuMi mtu wa machaka pori ka chatu
Passport imejaa ma-visa european..
Achana na mchopanga mkuu,kwanza yeye na afande hawafananiki kabisa
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
asante mkuu
100% mkuuMe nilikuwa nampenda jay moe. Afande wimbo wake wa kioo cha jamii nilikuwa bado kachalii but niliupenda sana. Wakati huo nilikuwa napenda kupanda miwa nyuma ya nyumba na kila siku naiangalia kama imeanza kuchipua.
Jay moe nyimbo zake nyingi nilizipenda japo sijui kama ndo za kipindi hicho afande katoa. Mf. Story tatu, jua na mvua, kimya kimya aliyomshirikisha mangwear, nk
Wakuu kwema? tukutane hapa kidogo...
Jay Moe(juma mchopanga) Pamoja na Afande Sele....Hivi hawa wote wakiwa kwenye kilele cha ubora wao nani hatari zaidi?..
NB: Hasa nyakati zile za Ulimwengu ndio Mama na Mkuki Moyoni...
Nani zaidi Jay Moe vs Afande Sele.
#Forgive Me
jaman sele nae kma utamaikiliza kwa
Makin kuanzia
1:mkuki moyoni
2:Malaria
3:ndugu zangu
4:Tafadhar ndugu yangu usinichukie
5:nitarud moro
6:mtu na pesa
7:nafsi ya mtu
Umenikumbusha maisha ya boarding, daah. Nilikuaga nasikiliza huu wimbo naanza kuwaza siku nikienda boarding itakuwajeJay MO,MO tech, huyu ni Mwamba ni noma,anajua sana kughani! Afande pia anajua lakini kwa Jay MO hafiki!
Jay MO, mtoto wa mjini,tofauti na Afande Sele yule jamaa!!
Maisha ya boarding,Jua na Mvua,Kimya kimya na nyimbo nyingine nyingi
Afande sele alikuwa mwamba sana..Wakuu kwema? tukutane hapa kidogo...
Jay Moe(juma mchopanga) Pamoja na Afande Sele....Hivi hawa wote wakiwa kwenye kilele cha ubora wao nani hatari zaidi?..
NB: Hasa nyakati zile za Ulimwengu ndio Mama na Mkuki Moyoni...
Nani zaidi Jay Moe vs Afande Sele.
#Forgive Me