Jay Moe vs Afande sele

Jay Moe vs Afande sele

barcelonista

Senior Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
158
Reaction score
149
Wakuu kwema? tukutane hapa kidogo...

Jay Moe(juma mchopanga) Pamoja na Afande Sele....Hivi hawa wote wakiwa kwenye kilele cha ubora wao nani hatari zaidi?..

NB: Hasa nyakati zile za Ulimwengu ndio Mama na Mkuki Moyoni...

Nani zaidi Jay Moe vs Afande Sele.

#Forgive Me
 
Me nilikuwa nampenda jay moe. Afande wimbo wake wa kioo cha jamii nilikuwa bado kachalii but niliupenda sana. Wakati huo nilikuwa napenda kupanda miwa nyuma ya nyumba na kila siku naiangalia kama imeanza kuchipua.

Jay moe nyimbo zake nyingi nilizipenda japo sijui kama ndo za kipindi hicho afande katoa. Mf. Story tatu, jua na mvua, kimya kimya aliyomshirikisha mangwear, nk
 
100% mkuu
 
Jay moe mbakiaji, ile albam ya ulimwengu ndio mama hatari na nusu. Kuna ngoma inaitwa majukumu tamu mpaka kesho
 
ama kweli, mtu kwao
kona zote za moro
na mashabiki kibao
?? nsc
 
Wakuu kwema? tukutane hapa kidogo...

Jay Moe(juma mchopanga) Pamoja na Afande Sele....Hivi hawa wote wakiwa kwenye kilele cha ubora wao nani hatari zaidi?..

NB: Hasa nyakati zile za Ulimwengu ndio Mama na Mkuki Moyoni...

Nani zaidi Jay Moe vs Afande Sele.

#Forgive Me

Sele was really good at his prime but Mchopanga has stayed in the game for years and he is still the best.

Mchopanga ana kura yangu.
 
IMG_1078.jpg
 
Jay MO,MO tech, huyu ni Mwamba ni noma,anajua sana kughani! Afande pia anajua lakini kwa Jay MO hafiki!

Jay MO, mtoto wa mjini,tofauti na Afande Sele yule jamaa!!

Maisha ya boarding,Jua na Mvua,Kimya kimya na nyimbo nyingine nyingi
Umenikumbusha maisha ya boarding, daah. Nilikuaga nasikiliza huu wimbo naanza kuwaza siku nikienda boarding itakuwaje
 
Wakuu kwema? tukutane hapa kidogo...

Jay Moe(juma mchopanga) Pamoja na Afande Sele....Hivi hawa wote wakiwa kwenye kilele cha ubora wao nani hatari zaidi?..

NB: Hasa nyakati zile za Ulimwengu ndio Mama na Mkuki Moyoni...

Nani zaidi Jay Moe vs Afande Sele.

#Forgive Me
Afande sele alikuwa mwamba sana..
1. Mtazamo
2. Darubini Kali
3. Mkuki moyoni
4. Ndugu zangu
5. Malaria
6. Mtu pesa
7. Karata dume..n.k
 
Mashabiki wa Baba Tunda ni watu flani hivi yaani.

Mi naona Jay Moe. Kila wimbo akiimba solo, au akishirikiana na mtu lazima afanye vema.

Mvua na Jua, Bishoo na Story 3 are my favorite.
 
Back
Top Bottom