Mwab Evelina
Member
- Jan 24, 2025
- 12
- 34
Katika level of consciousness viwango vya ufahamu vipo katika degree .
Mfano Jay z Ana degree 33, huyu hauwezi kumuingiza Katika trap kirahisi, maana yeye ndo mmiliki wa hizo trap.
Katika degree ili ufike huko lazima uamshe nguvu ya "Kundalini" kwanza.
Nimeongea hivi maana kuna watu wana degree 2 za ufahamu hawa ndo Kama watanzania walio wengi utawakuta wanafata trend , kusifu ngono na pombe n.k
Wengine utawakuta ni vibarua wa wahindi wanatumikishwa .
Wengine. ndo wale utamkuta anadanganywa na wanasiasa anaenda vitani na kuuliwa .
So somo lijalo nitaelezea kuhusu degree namna ya kujua degree zako.
Ila ukiona unadanganyika kirahisi fahamu degree zako ni ndogo Sana.
Ukiona unatumikishwa na binadamu wenzako fahamu degree zako ni ndogo pia .
Ukiona unaendeshwa na mapenzi fahamu tu kuwa degree zako ni ndogo Sana .
Ukiona unakuwa mlevi Mbwa mpaka unazima ,degree zako za ufahamu ni ndogo .
Unakuwa mzinzi , degree zako ni ndogo .