Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Kufikia izo degree usiudhuru mwili wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuelezee kidogo Mkuu uligundua hayapo ?Haya mambo nilikuwa nayafuatilia sana miaka 33 iliyopita.
Mengi ni makorokocho ya kutungwatungwa na kuungwaungwa na watu tu.Tuelezee kidogo Mkuu uligundua hayapo ?
Kweli Mkuu , baadhi ya mambo yanafikirisha Sana .Mengi ni makorokocho ya kutungwatungwa na kuungwaungwa na watu tu.
I read about the Knight Templars mpaka Freemasons na Illuminati, hizo stories nyingi ni watu wanaungaunga tu.
Ukiona unashindwa kutafsiri watu wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi ujue.............Katika level of consciousness viwango vya ufahamu vipo katika degree .
Mfano Jay z Ana degree 33, huyu hauwezi kumuingiza Katika trap kirahisi, maana yeye ndo mmiliki wa hizo trap.
Katika degree ili ufike huko lazima uamshe nguvu ya "Kundalini" kwanza.
Nimeongea hivi maana kuna watu wana degree 2 za ufahamu hawa ndo Kama watanzania walio wengi utawakuta wanafata trend , kusifu ngono na pombe n.k
Wengine utawakuta ni vibarua wa wahindi wanatumikishwa .
Wengine. ndo wale utamkuta anadanganywa na wanasiasa anaenda vitani na kuuliwa .
So somo lijalo nitaelezea kuhusu degree namna ya kujua degree zako.
Ila ukiona unadanganyika kirahisi fahamu degree zako ni ndogo Sana.
Ukiona unatumikishwa na binadamu wenzako fahamu degree zako ni ndogo pia .
Ukiona unaendeshwa na mapenzi fahamu tu kuwa degree zako ni ndogo Sana .
Ukiona unakuwa mlevi Mbwa mpaka unazima ,degree zako za ufahamu ni ndogo .
Unakuwa mzinzi , degree zako ni ndogo .
Katika level of consciousness viwango vya ufahamu vipo katika degree .

😂Wewe utakuwa huna moto huko chini ndiyo maana umeona kuwa mpenda ngono ni mtu dhaifu.
Baba yako angekuwa si mzinzi na wewe usingezaliwa paka msimbe.
Mkuu unaweza kuwa na kitabu au document yyte inayozungumzia hayo mambo?Haya mambo nilikuwa nayafuatilia sana miaka 33 iliyopita.
Tena hiyo ya 3 yenyewe kapewa kwa ushawishi wa mr president ObamaAnazo 3 tu hana 33
Ebana duhTena hiyo ya 3 yenyewe kapewa kwa ushawishi wa mr president Obama