Jay Z: Bila Diamond situi Bongo!!!

Jay Z: Bila Diamond situi Bongo!!!

Yule msanii wa Mbeya kwa jina la Agence Mwakitwange almaarufu kama JAY Z , ameliambia gazeti hili hata weza kuhudhuria show ya fiesta kama hata kuwepo Diamond a.k.a Baba Tiffa a.k.a scorpion wa dada zao Kariakoo , kwakuwa hataweza kuwa na kiingilio cha show hiyo..
Ifhamike kwamba wakati wa show ya Diamond Kyela Mbeya ambayo Le Mbururaz alibeba viatu , Diamond alimuahidi msanii huyo atampa offer ya kubeba viatu vyake katika show ya fiesta kwasababu mbeba viatu Le mbururaz atakuwa kumbebea mikoba madame wa taifa a.k.a East Africa sweat heart aliye ziarani China

Gazeti hili lilimnukuu msanii huyo akilalamika kwa rafudhi yake ya kinyakyusa ..."kwakweli buroo nimesikitika sana kukosa show hiyo , najua ningefahamika na kuwa star angalau nami nimpate Gigy money " Alilalamika Jay z..

Hadi tunakwenda mitamboni , simu ya Diamond ilikuwa ikiita na kupokelewa na Mobeto ambaye alidai diamond yupo Malawi katika ziara yake Africa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwandishi atakua kati ya wale wanne
 
Usawa huu bila kukomaa na kuongeza chumvi nani atanunua gazeti.
Lazima upambane ati uuze.
Mwandishi hapendi ujinga kabisa.
 
Magazeti ya namna hii huku mikoani tunatumia kujichambia, vipi huko Dar?
 
Magazeti mengine sijui kwann yamapewa vbali .....maana kwauongo funga kazi[emoji23] [emoji23]
 
Jay Z bhana, yaani anawanyima watu wa Dar wote uhondo kwasababu ya mtu mmoja?
 
gazeti linaitwa filamu,habari ni za music.
jay anataka kuja kufanya show geto kwa diamond?? au anakuja kutoa posa? maana kichwa kimeniuma mpaka nimekiminimize kwanza
 
Nimekutana ha heading nyingi za Magazeti lakini hii ni kiboko.
 
Back
Top Bottom