leiguanan
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 618
- 1,904
After having "4:44" I tried to compare it with "life is good"(2012) and "distant relatives" (2010)of Nas.Nilifikiri album ya mwisho ya Jay-Z ndiyo ilikuwa mbaya kuliko zote.
Hii imeipita ile ya mwisho kwa kukosa clever rhymes despite the somewhat passable production.
Nikisikiliza naona bora nimsikilize Hov wa 2000 kurudi nyuma.
And that's from someone who likes Hov.
Tatizo ni kwamba he is waaay past his prime na akitoa kitu tunalinganisha na kazi zake za awali, kinapwaya sana.
Kwa sasa atauza tu kwa sababu ya jina, ila ku spit anakuwa kama kachoka tayari.
Finally, Nas is a big deal [to me].
Ila kwa alivyozungumzia humo attention ya Dunia itakuwa kubwa saana.