figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Msanii machachali wa usa wa miondoko ile ya kufokafoka jay z yaani mumewe beyonce, atatinga bongo na kufanya onyesho matata pale dimond jubile tarehe 26 mwezi wa kumi. Msanii huyo atakua katika ziara yake ya mabara ambapo kwa africa ataanzia tanzania kabla ya kwenda nigeria. wale wapenzi wa miondoka ya kufokafoka naamini tutakua pamoja ndani ya nyumba tukiruka majoka na mengine kuyakanyaga. forever young, newyork,High art,D.O.A, dead president, lucifer,izzo, show me what you get, ain't no nigga, etc. mia