Jay Z na Kanye West kutua Tanzania October 2014, Joseph Kusaga ahusishwa

Jay Z na Kanye West kutua Tanzania October 2014, Joseph Kusaga ahusishwa

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
Ukitembelea www.roc-nation.com/artisttour na www.jay-z.com utaona jinsi ratiba ya music tours za wasanii hao zinaonyesha kuwa watakuwa nchini Tanzania mwezi oktober mwaka huu. Ujio huo japo haujawekwa wazi ila unahusishwa na tamasha la kila mwaka la Fiesta linaloandaliwa na Clouds Media Group kwa kushrikiana na PrimeTime Promotions. Inasemekana Joseph Kusaga alikuwa New York mwezi wa pili mwanzoni na kuwah booking ya wasanii hao ambao huwa inaandaliwa kwa mwaka wote na ikishaandaliwa huwa haiingiliwi tena. CMG bado hawajatangaza na tetesi za wasanii hao kuja bongo kwa mara ya pili zinatoka kwa uongozi wa Clouds na kuaminishwa na mitandao ya wasanii hao inayoonyesha uwepo wa tour ya Tanzania.
 
Tetesi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kama kweli ujue kunasehemu wanaenda Hapa hapa Africa !
Alafu wao wata wapitisha na hapa !

Ila hapa bongo sijona ataeweza kumtoa Jay Z kutoka USA mpaka hapa !
 
Kuwalipa kusaga hawezi

Yamkini wana issue na UN
 
Jayz pekeake tu hana uwezo wa kumtoa Marekani ndo useme awalete Jayz na Kanye?Kama wadau walivyosema hapo juu labda wawe na ishu nyingine,kama ikitokea wanakuja akiyanani siwezi kukosa hata kiingilio kiwe laki2
 
Wale show zao bei kubwa[/QUOTE
vuta kumbukumbu hapo nyuma watanzania pamoja na uchoka mbaya wao walikuwa wanalipa kiasi gani vile kwenda kumuona fundi nguo kanda bongoman na nyimbo zake za verse moja mstari mmoja?
 
Acheni ujinga na ushamba kwani jay z au kanye kitu gani mpaka watu washindwe kuwaleta bongo????

Unajua ni gharama kiasi gani ilitumika kumleta Rick Rozzay pekee na kwanini mwaka jana hakuletwa msanii mwenye hadhi yake(Hadhi ya Rozzay) Unadhani kuwaleta wawili wa hadhi hiyo ni rahisi kama kuchana nywele za utosi?
 
Wakiweka kiingilio laki 5 ntaenda ila sio fiesta
 
Hatutaki MAFREEMASONS Tanganyika, period. Waende Zanzibar.
 
Back
Top Bottom